JINSI YA KULIPA KWA MPESA

Lipa Na M-PESA       

  1. Piga *150*00#
  2. Chagua 4 "Lipa kwa MPESA"
  3. Chagua 1 "Lipa Kwa SIMU"
  4. Chagua 1 “Ingiza Lipa Namba” 5566365"
  5. Ingiza Kiasi
  6. Ingiza Namba ya Siri Kuthibithisha
  7. Jina La Biashara NETPOA LIMITED

Lipa Kwa Mitandao Mingine

Fungua Menu ya Huduma za Kifedha

  1. Chagua Tuma Pesa
  2. Chagua Kwenda Mitandao Mingine
  3. Chagua MPESA
  4. Ingiza Namba 5566365
  5. Ingiza Kiasi 
  6. Ingiza Namba ya Siri Kuthibithisha
  7. Jina La Biashara NETPOA LIMITED

Mara baada ya kulipa utatuma ujumbe wa maandishi kupitia namba yetu ya WhatsApp +255 755 515 122

 

Need a Domain or Hosting to Get Started?

If you don’t yet have a domain or email hosting for your business or personal use, Netpoa.com offers reliable, affordable domain registration and hosting services tailored for Tanzania and beyond.

  • Register your .tz domain or international domains with us

  • Get secure email hosting included in our packages

  • Enjoy 24/7 local support to help you set up and manage your emails

Visit Netpoa.com today to get started and own your professional email!

 

Was this answer helpful? 158 Users Found This Useful (642 Votes)